Pochi ya Google

Maoni 2.28M
Daraja la maudhui
Kila mtu
1B+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
Kila mtu
Watumiaji Hushirikiana, Hushiriki Maelezo
Pata maelezo zaidi
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu programu hii

Pochi ya Google hukuwezesha kufikia kwa haraka na usalama hati zako muhimu. Abiri ndege, katazame filamu, pata zawadi kwenye maduka unayopenda na mambo mengine, yote hayo kwenye simu yako ya Android. Linda kila kitu katika sehemu moja, hata ukiwa nje ya mtandao.

NI RAHISI
Pata unachokihitaji kwa haraka
• Njia tatu za haraka za kufikia hati zako muhimu za kila siku: tumia mipangilio ya haraka kwenye simu yako ufikie upesi, fungua Pochi kwenye skrini yako ya kwanza au utumie programu ya Mratibu wa Google wakati unafanya shughuli zingine kwa mikono yako.
Beba kadi, tiketi, pasi na vinginevyo
• Abiri ndege, tazama tamasha au upate zawadi kwenye maduka unayopenda ukitumia pochi dijitali inayobeba mengi
Unachohitaji, unapokihitaji
• Pochi yako inaweza kupendekeza unachohitaji pindi unapokihitaji. Pata arifa ya pasi yako ya kuabiri siku ya kusafiri, ili kamwe usitafute kwenye mkoba wako tena.

NI MUHIMU
Ujumuishaji kwenye Google kwa urahisi
• Sawazisha Pochi yako ili uhakikishe Kalenda na programu yako ya Mratibu vimesasishwa kwa taarifa mpya zaidi kama vile taarifa kuhusu safari za ndege na arifa za matukio
• Fanya ununuzi kwa njia mahiri zaidi kwa kuona salio lako la pointi na manufaa ya uaminifu kwenye huduma kama vile Ramani, Ununuzi na nyinginezo
Anza kutumia kwa haraka
• Ni rahisi kuweka mipangilio kupitia uwezo wa kupakia kadi, pasi za kuabiri, kadi za kutuza uaminifu na nyinginezo ulizohifadhi kwenye Gmail.
Pata taarifa popote ulipo
• Rahisisha mchakato wa kuabiri ndege kwa kupata taarifa mpya zaidi kutoka kwenye huduma ya Tafuta na Google. Pochi ya Google inaweza kukutaarifu kuhusu mabadiliko ya lango au safari za ndege zikichelewa bila kutarajiwa.

NI SALAMA NA YA FARAGHA
Njia salama ya kubeba vitu vyote
• Usalama na faragha vimejumuishwa katika kila sehemu ya Pochi ya Google ili kulinda hati zako muhimu.
Usalama wa Android unaoweza kuutegemea
• Linda data na hati zako muhimu ukitumia vipengele vya usalama vya kina vya Android kama vile Uthibitishaji wa hatua mbili, huduma ya Tafuta Simu Yangu na kufuta data ukiwa mbali.
Unadhibiti data yako
• Vidhibiti vya faragha ambavyo ni rahisi kutumia hukuwezesha kujijumuisha kwenye ufikiaji wa taarifa katika bidhaa mbalimbali za Google ili upate hali ya utumiaji inayokufaa.

Pochi ya Google inapatikana kwenye simu zote za Android (toleo la Pie 9.0+).

Je, bado una maswali? Nenda kwenye support.google.com/wallet.

Programu haipatikani kwenye vifaa vya Wear OS
Kufikia kwa haraka na kwa usalama hati muhimu kama vile kadi, pasi au tiketi
Ilisasishwa tarehe
12 Nov 2026

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
  • Programu hii huenda ikaruhusu aina hii ya data ikafikiwa na washirika wengine
    Taarifa binafsi, Maelezo ya fedha na nyingine2
  • Programu hii huenda ikakusanya aina hizi za data
    Mahali, Taarifa binafsi na nyingine9
  • Data inasimbwa kwa njia fiche inapotumwa
  • Unaweza kuomba data hiyo ifutwe
  • Ukaguzi huru wa usalama

Ukadiriaji na maoni

Maoni 2.23M
Swaga Boy familitz
23 Mei 2025
nzur
Watu 18 walinufaika kutokana na maoni haya
Je, maoni haya yamekufaa?

Vipengele vipya

• Linda kila kitu katika sehemu moja, popote unapoenda ukitumia Pochi ya Google.
• Furahia ufikiaji wa haraka, salama na rahisi zaidi wa hati muhimu kama vile kadi zako za kutuza uaminifu, tiketi za tamasha, pasi za kuabiri na nyinginezo, yote hayo kwenye simu yako ya Android.